........Hatimaye timu ya simba sports club,imeweka historia ya aina yake kwa kunyakuwa ubingwa bila kufungwa hata mechi moja,ni baada ya kuwabangua watani wake wa jadi Dar young african goli nne kwa tatu kabla ya kuwafunga wakata miwa wa Mtibwa sugar katika mechi ya kumaliza ligi ya vodacom nchini Tanzania kwa jumla ya magoli manne kwa bila.....na wameendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya shirikisho kwa kuwatandika goli 2-1dhidi ya Al-mahood kutoka Misri.Je,hili wimbi la ushindi litaendelelea? kazi kwenu wana msimbazi.....msibweteke kwani ndio wawakilishi pekee mliobakia....
Friday, April 30, 2010
Friday, April 23, 2010
Wednesday, April 21, 2010
UCHAGUZI MKUU
kuelekea uchaguzi mkuu wa raisi,wabunge na madiwani,wananchi mnatakiwa kuwa makini na viongozi wababaishaji wasiojali maslai yenu. dembopizzo@yahoo.com
Subscribe to:
Posts (Atom)

