Friday, April 30, 2010

SIMBA WANATISHA......MISRI ITAKUWAJE


........Hatimaye timu ya simba sports club,imeweka historia ya aina yake kwa kunyakuwa ubingwa bila kufungwa hata mechi moja,ni baada ya kuwabangua watani wake wa jadi Dar young african goli nne kwa tatu kabla ya kuwafunga wakata miwa wa Mtibwa sugar katika mechi ya kumaliza ligi ya vodacom nchini Tanzania kwa jumla ya magoli manne kwa bila.....na wameendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya shirikisho kwa kuwatandika goli 2-1dhidi ya Al-mahood kutoka Misri.Je,hili wimbi la ushindi litaendelelea? kazi kwenu wana msimbazi.....msibweteke kwani ndio wawakilishi pekee mliobakia....

No comments:

Post a Comment