
Mbunge wa Mtera, mh. John Malecela anakabiliwa na wakati mgumu baada ya wazee takribani 48 wa jimbo hilo wamejitokeza kumpinga kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na raisi utakaofanyika Octoba mwaka huu.Bwana Malecela ambaye ameliongoza jimbo hilo takribani miaka 35 kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi(CCM) ana wakati mgumu kutetea kiti chake.Wazee hao ni kutoka vyama mbalimbali jimboni hapo
No comments:
Post a Comment